#Exclusive: Paula Afichua Ujauzito Wa Marioo – “Siwezi Kujificha Nahisi Nimekua”- Video
Paula Kajala; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) nchini Tanzania amekanusha uvumi unaoendelea kwamba ana ujauzito wa Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo na kueleza kwamba ikitokea akabeba ujauzito wa msanii huyo ambaye wapo naye penzini, watu watajua.
Paula ambaye ni mtoto wa @kajalafrida ameyasema hayo kupitia #ExclusiveInterview aliyoifanya wakati wa uzinduzi wa duka lake la nguo lililopo Sinza Mori.