The House of Favourite Newspapers

Exclusive: Pretty Kind Aanika Ukweli Kuathirika Na Ukimwi -“Aliyenipeleka India Amekufa’-Video

0
Aliyekuwa Msanii wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’.

 

Katika kipindi cha ‘MPAKA HOME’ wiki hii, Global TV imetia maguu mpaka maeneo ya Sinza nyumbani kwa aliyekuwa Msanii wa filamu na muziki Bongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’.

 

Kupitia kipindi hiki, Pretty Kind pia amezungumzia mambo mbalimbali ikiwemo mahusiano yake, ujauzito wake na harakati zake zinaoendelea katika muziki wake, amaefunguka pia namna alivyoachana na Maisha yake ya zamani ambayo aliyaona kuwa ni maovu na hatimaye kuamua kumrudia Mungu na kuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili hapa nchini.

 

Kwa haya na mengineyo mengi usikose kufuatilia kipindi hiki mwanzo mwisho uweze kuyaona maisha halisi ya Pretty Kind, anapolala, anavyokula, staili yake ya maisha kwa ujumla.

 

Usisahau ku-subscribe ili uwe wa kwanza kupata taarifa mbalimbali kuhusiana na vipindi vyetu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply