Exclusive Video: Rahisa Afichua Ujauzito Wa Patrick, Aanika Sms Za Niffer, Amtumia Salamu Hidaya Njaidi..-Video
KUFUATIA EXCLUSIVE aliyowahi kuifanya Imelda Mtema na Hidaya Njaidi Mama mzazi wa Patrick kuhusiana na mahusiano ya mwanaye na kumtaja Niffer kuwa ndiyo mkwe wake anayemfahamu na kumkana Rahisa, Imelda amemtafuta Laisa na kupiga naye stori ambapo amefunguka mengi tusiyoyajua ikiwemo kuwa na ujauzito wa Patrick huku akieleza kuwa yeye ndiye mke halali wa Patrick..