The House of Favourite Newspapers

EXCLUSIVE: RDJ MAMIE Afunguka Kuacha Kifua Wazi, Mahusiano na LAVALAVA – Video

 

DJ wa EFM ambaye anatambulika kama RDJ Mamie amefunguka kuwa kinachoenezwa katika mitandao ya kijamii kutoka na Lavalava hayuko tayari kuongelea huku akifafanua ishu ya kifua chake.

Mamie amesema hiyo watu wanazusha lakini yeye yupo hivyo hivyo hamna kitu ambacho anakivaa.

 

Comments are closed.