Simulizi Ya Kusisimua Ya Mrembo Mwenye Ulemavu Aliyejikubali, Awa Mpishi Mzuri Wa Keki – Video
Mfanyabiashara Angela Isaac @angeliquerzery mwenye changamoto ya ulemavu amefunguka kupitia Global TV na kuelezea mojawapo ya changamoto anazopitia katika majukumu yake ya kibiashara ya uuzaji wa keki.
Angel ameeleza kuwa changamoto ya ulemavu ni kikwazo kikubwa jambo linalopelekea ata kukosa baadhi ya kazi ambazo zipo ndani ya uwezo wake ingalikuwa ni mlemavu.