The House of Favourite Newspapers

Softena: Niliachana Na Mume Wangu Sababu Ya Mambo Ya Kiswahili, Nilipata Uchizi- Video

Mwanamama Hidaya Alex almaarufu @Softena100 amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka kuhusu maisha yake halisi.

Amesema watu wengi humtukana mitandaoni anapoposti picha au video wakidai anajibinua, jambo ambalo siyo la kweli. Amesema sio kwamba huwa anajibinua bali ndivyo alivyo.

Wanawake wengi wanakosea kwa kushindwa kuelewa kwamba waume zao ni kama simba ndani ya nyumba hivyo anapaswa kuogopwa na kuheshimiwa.