The House of Favourite Newspapers

#Exclusive Video: Esha Buheti Afichua Alivyotaka Kujiua Na Kuwaua Watoto Wake, Walivyokutana Na Mume Wake

0

Msanii na mjasiriamali maarufu Bongo, Esha Buheti amesema yeye na mjasiriamali mwenzake, Shilole wanashindwanishwa na kutajwa kuwa na ‘bifu’ kwa sababu wao wenyewe wameruhusu hali hiyo itokee na kueleza kuwa lisemwalo lipo.

Buheti ameyasema hayo katika mahojiano maalum (#ExclusiveInterview) na mtangazaji @imeldamtema na kueleza kuwa awali walikuwa marafiki wa karibu tofauti na sasa.

Leave A Reply