The House of Favourite Newspapers

#Exclusive Video: Femi Na Luka wa Jua Kali Wafunguka Wakiwa Na Vipara Vyao – ”Nililia Sana Siku Ya Kunyoa”

0

Mwigizaji wa Tamthilia ya Jua Kali, Mulky maarufu kama “Femi wa Juakali” amesema licha ya kuigiza sini za kimahaba na Luka, lakini hajawahi kuwaza wala kutamani kuwa nae kwenye mahusiano, amesema anaamini yupo kikazi lazima afanye kwa ubunifu ili watu waamini kama ni kweli yeye na Luka ni mtu na mtuwe.

Femi ambaye amewahi kuwa video vixen kwenye video kadhaa za wasanii kama Aslay, Mbosso na Marioo amesema yeye ana mpenzi wake wa muda mrefu.

Leave A Reply