The House of Favourite Newspapers

#Exclusive Video: Pili Kitimtim – “Alinitunza Shilingi Mil. 81, Yule Baba Muacheni Wabongo Waongo”…

0


Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Gladness Kifaruka (Pili kitimtim) amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa Msanii wa Muziki nchini Nandy ni mwanamke bahili sana.

Gladness ameelezea zaidi kuwa nyakati nyingi wanashirikiana katika majukumu tofauti ya kifamilia na kimaendeleo.

Leave A Reply