Faftma Karume Asimamishwa Uwakili

MAHAKAMA Kuu imeamuru wakili Fatma Karume asiendelee kuwa wakili kwa muda kutokana na upande wa serikali kulalamikia matamshi yaliyotolewa na wakili huyo katika kesi iliyofunguliwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo, Ado shaibu dhidi ya Rais John Magufuli na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

 

Katika uamuzi huo uliotolewa leo, Jaji Kiongozi wa Tanzania, Dkt Eliezer Feleshi ameiondoa kesi hiyo kwasababu imemjumuisha Rais na kwa msimamo wa Mahakama Kuu jambo hilo ni kinyume cha sheria.


Loading...

Toa comment