The House of Favourite Newspapers

Fahyma Kama Beyonce Vile!

0

MKE wa staa wa Bongo Fleva, Faima Msenga ‘Fahyma’, amezua gumzo baada ya kutupia picha kwenye akaunti yake ya Instagram akiwa amevaa gauni aliloigilizia kwa staa wa dunia kutoka nchini Marekani, Beyonce Knowles.

 

Baada ya kutupia picha hiyo baadhi ya watu walipongeza kwa kumzidi Beyonce ambaye ni mke wa mwanamuziki Jay-Z, lakini wengine walimponda kuwa hajapendeza na hajui kuvaa hivyo aache kuigaiga.

 

Kufuatia ishu hiyo, Fahyma ameiambia OVER ZE WEEKEND; “Wanaosema sijapendeza, ni wivu tu, hiyo nguo nimeishona mwenyewe, waje wanisapoti, waache kuongea kuponda. Ni kweli nimeiga mshono kutoka kwa Beyonce kwani kuna ubaya gani?”

MEMORISE RICHARD

Leave A Reply