Fainali za BSS kufanyika King Solomon leo
Maandhari ya ukumbi huo kwa nje.Mmiliki wa Ukumbi huo akiwa na wafanyakazi wa hapo.Ukumbi wa King Solomon kwa ndani.Baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika pozi.
Fainali ya shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search ‘BSS’ inatarajiwa kufanyika leo Ijumaa katika ukumbi wa kisasa kabisa unaoitwa King Solomon, uliopo Namanga jijini Dar.
Itakuwa ni mara ya kwanza katika ukumbi huo mpya kufanya shoo kubwa kama hiyo. Ukumbi huo una hadhi ya kipekee kabisa na mvuto wa aina yake.
Picha & Habari na Imelda Mtema