FAIZA:  MAPENZI NI HOBI YANGU

Faiza Ally

MSANII wa filamu mwenye vituko lukuki Bongo, Faiza Ally ambaye pia ni mzazi mwenza na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amefunguka kuwa hakuna kitu anakipenda kama kufanya mapenzi. Akizungumza na Za Motomoto, Faiza alisema kwamba kwa umri ambao anao sasa hivi kitu ambacho anakipenda ndiyo hicho lakini kwa mwanaume msafi anayenukia.

“Kwa nini nifiche jamani, hobi yangu napenda sana kufanya mapenzi tena kwa umri nilionao ndio nafurahia zaidi na pia ili niinjoi zaidi ni kwa mwanaume msafi na anayenukia,” alisema Faiza huku akitoa cheko la nguvu.

Stori: Imelda Mtema


Loading...

Toa comment