The House of Favourite Newspapers

FATMA KARUME ‘Amvaa’ RC Makonda “Ushoga Siyo Adui” – Video

RAIS wa Chama cha Mawakili Tanganyika, Fatma Karume amefunguka kuhusu kampeni ya kutokomeza mapenzi ya jinsia moja ‘ushoga’ iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekosoa vikali kampeni hiyo na kudai kiongozi huyo ‘amekurupuka’.

 

Karume amedai “Tanzania yetu adui siyo ushoga” na kusema maadui wa Taifa waliyotajwa na Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere ni umaskini, maradhi na ujinga hivyo kumtaka RC Makonda kupambana na hivyo vitu vitatu badala ya ushoga kwa madai kwamba siyo agenda ya Taifa.

VIDEO: MSIKIE WAKIRI KARUME AKIFUNGUKA

Comments are closed.