Fei Toto Azungumza Akiwa Azam – ”Tafanya Kama Yanga, Tutachukua Ubingwa”-Video
MCHEZAJI Feisal Salum ‘Fei Toto’ amezungumza na wanahabari baada ya kusaini wa miaka mitatu na timu ya Azam FC akitokea Yanga na atavaa jezi namna 6 ndani ya klabu yake hiyo mpya.