Fid Q Amsainisha Big Jahman Kwenye Lebo Yake, Tazama Kichupa Chao Kipya
Fareed Kubanda Fid Q ametambulisha msanii wake ambae amemsainisha kwenye lebo yake ya Cheusi Dawa Music.
Msanii huyo ni Big Jahman, sio mpya kwenye game ya music alikuepo kitambo akiimba Raggae na Dancehall. Ni mkongwe lakini alikuwa amesimama kimuziki kwa miaka kama 4, sasa amerudi kwenye game kupitia lebo ya Cheusi Dawa .
Tazama kichupa hiki kutoka Cheusi Dawa Music.
Comments are closed.