The House of Favourite Newspapers

FIFA Yamfungia Rais wa CAF Miaka 5

0

RAIS wa shirikisho la soka barani AfriKa (CAF), Ahmad Ahmad, amefungiwa kutojihusisha na soka  kwa miaka mitano na shirikisho la soka duniani (FIFA) kwa kosa la kukiuka maadili.

FIFA inasema Rais huyo amekiuka taratibu za kimaadili kwa matumizi mabaya ya ofisi pamoja na kutoa na kupokea zawadi kinyume na taratibu zinavyotaka.

Kwa maana hiyo Ahmad hatatea wadhifa wake kwenye uchaguzi mkuu ujao wa CAF utakaofanyika mwezi Machi mwakani.

Leave A Reply