The House of Favourite Newspapers

Flavour atoa kadi maalum za Krismas kwa mashabiki wake

0

Flavour-BN-2015-1Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Mr Flavour.

MWIMBAJI maarufu wa Nigeria, Flavour Na’abalia, ametoa kadi maalum za Krismas kwa mashabiki na wapenzi wake.

Mwimbaji huyo aliyetamba na kibao cha ‘Golibe’ ambaye anasemekana kuwa katika ‘mahaba niue’ na mwimbaji maarufu wa kike wa Nigeria, Chidimma Ekile, ametoa kadi hizo zenye picha yake ambazo zinamwonyesha akiwa na taswira ya kuvutia.

imageKatika picha hiyo, Flavour anaonyesha mwili wake wa kuvutia, tatuu kibao na akiwa kifua wazi.

Leave A Reply