The House of Favourite Newspapers

Flora, mwanaye ndani ya filamu!

0


mvungiFlora Mvungi ‘H.Mama’

Gladness Mallya

STAA wa filamu na muziki, Flora Mvungi ‘H.Mama’ amecheza filamu moja na mtoto wake aitwaye Tanzanite, akisema anafanya hivyo ili kuonesha kipaji alichonacho.

tanzaniteMtoto wa Flora Mvungi, Tanzanite

Akipiga stori na gazeti hili, Flora alisema baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu akilea, sasa amerudi rasmi na kazi yake hiyo inaitwa Mtegoni, aliyosema itasisimua wengi.

Katika filamu hiyo, licha ya mwanaye pia amewashirikisha mastaa wengine kadhaa akiwemo Wastara. “Baada ya kimya kirefu, sasa narejea na kazi hii itakuwa mtaani muda si mrefu,” alisema.

Leave A Reply