Chichi Mawe na Israel Kamwamba Hakuna Mbabe (Pichaz + Video)
Bondia wa Tanzania Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’, amezichapa dhidi ya Israel Kamwamba kutoka nchini Malawi kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar huku likirushwa mubashara Global TV mpaka mwisho wa mchezo hakukuwa na mbabe.