FT: Kagera Sugar 0-1 Yanga Uwanja Wa Kaitaba

Mchezo ukekwisha Uwanja wa Kaitaba Kaitaba Yanga ameshinda bao 1-0 dhidi ya Kagera na bao limefungwa dakika ya 72 kipindi cha pili na Mukoko Tonombe ‘Ticha’.

Matokeo ya mechi mbili za leo yanaiweka Yanga kileleni huku Kagera Sugar wakiendelea kubaki na pointi moja katika mechi tatu walizocheza.

Toa comment