The House of Favourite Newspapers

Full shangwe za uzinduzi wa msanii Kleyah

0

KLEYAH (1)

Kleyah akiingia jukwaani.

KLEYAH (3)

KLEYAH (5)

Kleyah akiwa na wacheza shoo wake.

KLEYAH (2)

…akiporomosha burudani ya nguvu.

KLEYAH (6)

Sehemu ya kipande cha Video ya African Drum.

KLEYAH (4)

Baadhi ya wadau wakifuatilia shoo hiyo.

KLEYAH (7)

Kleyah akiwa na Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima (katikati) na Meneja wake Lucy Ngongoseke.

KLEYAH (11) KLEYAH (10) KLEYAH (9)

KLEYAH (8)

Baadhi ya wadau.

WADAU mbalimbali wa muziki jana walijitokeza kwa wingi katika Uzinduzi wa Video ya Wimbo wa African Drum ya msanii Mtanzania mwenye asili ya Rwanda, Kleyah.

Uzinduzi huo ulifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro huku ukisheheni kwa vinywaji, vitafunwa na burudani kutoka kwa Kleyah.

Kleyah ambaye ana nyimbo nne kwa sasa ukiwemo wa Lovers Eyes, Don’t Slay Me, Msobemsobe aliomshirikisha Barnaba Boy pamoja na ule wa African Drum uliozinduliwa jana huku akijipanga kufanya nyimbo kibao kwa kuwashirikisha wasanii wa Kibongo.

Na Gabriel Ng’osha/GPL

Leave A Reply