The House of Favourite Newspapers

FULL TAKWIMU ZA FAINALI KOMBE LA DUNIA 2018 RUSSIA

HAPA nimekuwekea rekodi zote muhimu za fainali ya Kombe la Dunia zilizomalikiza juzi Jumapili pale Rusia na Ufaransa kufanikiwa kuibuka mabingwa baada ya kuichapa Croatia kwa bao 4-2.

Jumla ya Mechi zilizochezwa = 64

⚽Jumla ya mabao yaliyofungwa – 169 (wastani wa mabao 2.64 kwa kila mechi)

Mabao ya kujifunga – 12

Penati zilizochezwa – 29

Penati zilizofungwa  – 22

Penati walizokosa  – 7

Mabao ya freekick  – 7

Jumla ya kadi nyekundu  – 4

jumla ya kadi za njano  – 219

*Waliofunga mabao mengi zaidi:

1. H. Kane (England) – 6
2. K. Mbappé (France) – 4
3. Griezmann (France) – 4
4. C. Ronaldo (Portugal) – 4
5. R. Lukaku (Belgium) – 4
6. D. Cheryshev (Russia) – 4
7. Ivan Perišić (Croatia) – 3
8. M. Mandžukić (Croatia) – 3
9. E. Hazard (Belgium) – 3
10. D. Costa (Spain) – 3
11. E. Cavani (Uruguay) – 3
12. A. Dzyuba (Russia) – 3
13. Y. Mina (Colombia) – 3
14. P. Coutinho (Brazil) – 2
15. J. Stones (England) – 2
16. M. Salah (Egypt) – 2
17. L. Suárez (Uruguay) – 2
18. A. Granqvist (Sweden) – 2
19. L. Modric (Croatia) – 2
20. D. Neymar Jr. (Brazil) – 2
21. S. Agüero (Argentina) – 2
22. A. Musa (Nigeria) – 2
23. M. Jedinak (Australia) – 2
24. S. Heung-min (South Korea) – 2
25. W. Khazri (Tunisia) – 2
26. T. Inui (Japan) – 2

27. 1 GOAL – 84 players

* TUZO:
Mchezaji Bora : Luka Modric (Croatia)

Mchezaji Bora Chipukizi: Kylian Mbappé (France)

Mfungaji Bora: Harry Kane (England)

Kipa Bora: Thibaut Courtois (Belgium)

timu yenye nidhamu: Spain

* Viwango vya Soka:

1. France
2. Croatia
3. Belgium
4. England
5. Russia
6. Sweden
7. Brazil
8. Uruguay
9. Colombia
10. Switzerland
11. Japan
12. Mexico
13. Denmark
14. Spain
15. Portugal
16. Argentina
17. Senegal
18. Poland
19. Tunisia
20. Panama
21. Korea Republic
22. Germany
23. Serbia
24. Costa Rica
25. Nigeria
26. Iceland
27. Peru
28. Australia
29. Iran
30. Morocco
31. Saudi Arabia
32. Egypt

* Mgawanyo wa zawadi ya pesa

Mshindi wa kwanza <Bingwa> – $38m
Mshindi wa pili – $28m
Mshindi wa tatu- $24m
Mshindi wa nne – $22m
Nafasi ya 5-8 (Waliofudhu hatua ya Robo Fainali) – $16m
Nafasi ya 9-16 (Waliofudhu hatua ya 16 Bora) – $12m
17TH–32ND PLACE (GROUP STAGE) – $8M

* Washindi wa Kombe la Dunia kwa Jumla:

1930 – Uruguay 🇺🇾
1934 – Italy 🇮🇹
1938 – Italy 🇮🇹
1950 – Uruguay 🇺🇾
1954 – Germany 🇩🇪
1958 – Brazil 🇧🇷
1962 – Brazil 🇧🇷
1966 – England 🏴
1970 – Brazil 🇧🇷
1974 – Germany 🇩🇪
1978 – Argentina 🇦🇷
1982 – Italy 🇮🇹
1986 – Argentina 🇦🇷
1990 – Germany 🇩🇪
1994 – Brazil 🇧🇷
1998 – France 🇫🇷
2002 – Brazil 🇧🇷
2006 – Italy 🇮🇹
2010 – Spain 🇪🇸
2014 – Germany 🇩🇪

2018 – France 🇫🇷

SUMMARY

Brazil 🇧🇷 – 5
Germany 🇩🇪 – 4
Italy 🇮🇹 – 4
Argentina 🇦🇷 – 2
France 🇫🇷 – 2
Uruguay 🇺🇾 – 2
England 🏴 – 1
Spain 🇪🇸 – 1

* Mameneja watatu ndiyo wamewahi kushinda Kombe la Dunia wakiwa wachezaji na wakiwa makocha.

1958 & 1970: 🇧🇷 Mario Zagallo
1974 & 1990: 🇩🇪 Franz Beckenbauer
1998 & 2018: 🇫🇷 Didier Deschamps

* Makosa ya magolikipa yaliyogharimu timu zao Kombe la Dunia 2018

🇵🇱 Wojciech Szczesny
🇩🇪 Manuel Neuer
🇦🇷 Willy Caballero
🇺🇾 Fernando Muslera
🇭🇷 Danijel Subasic
🇸🇦 Mohammed Al Owais
🇪🇸 David De Gea
🇦🇷 Franco Armani
🇯🇵 Eiji Kawashima
🇫🇷 Hugo Llloris

* Washindi wa MAN OF THE MATCHES

Griezmann (3)
Modric (3)
Hazard (3)
Kane (3)
Ronaldo (2)
Cheryshev (2)
Coutinho (2)
Mbappé (2)
Suárez (2)

* Mabao yaliyofungwa nje ya 18

🇵🇹 Cristiano Ronaldo (Freekick)
🇧🇷 Philippe Coutinho
🇪🇸 Nacho
🇭🇷 Luka Modrić
🇷🇺 Aleksandr Golovin (Freekick)
🇷🇸 Aleksandar Kolarov (Freekick)
🇨🇴 Juan Quintero (Freekick)
🇨🇭 Granit Xhaka
🇰🇷 Son Heung-min
🇩🇪 Toni Kroos (Freekick)
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Jesse Lingard
🇺🇾 Luis Suárez (Freekick)
🇪🇬 Mohamed Salah
🇵🇹 Ricardo Quaresma
🇦🇷 Angel Di Maria
🇫🇷 Benjamin Pavard
🇷🇺 Denis Cheryshev
🏴 Kieran Trippier (Freekick)
🇫🇷 Paul Pogba
🇫🇷 Kylian Mbappé

* Waliojifunga 

Aziz Behich (against France)
Fernandinho (against Belgium)
Ahmed Fathy (against Russia)
Edson Álvarez (against Sweden)
Aziz Bouhaddouz (against Iran)
Oghenekaro Etebo (against Croatia)
Thiago Cionek (against Senegal)
Denis Cheryshev (against Uruguay)
Sergei Ignashevich (against Spain)
Yann Sommer (against Costa Rica)
Yassine Meriah (against Panama)
Mario Mandžukić (against France)

*Waliofunga penati 

 Griezmann (3)
Kane (3)
 Jedinak (2)
 Granqvist (2)
 Hazard
 Kagawa
 Modric
 Salah
 Sassi
 Ronaldo
 Vela
 Al-Faraj
 Ansarifard
 Sigurdsson
 Moses
 Dzyuba
 Ronaldo
 Sigurdsson
 Cueva
 Messi
 Al-Muwallad
 Modrić
 Ruiz

SCORED – 22
MISSED – 7

* Waliofunga kwa FREEKICKS 

🇷🇺 Aleksandr Golovin
🇵🇹 Cristiano Ronaldo
🇷🇸 Aleksandar Kolarov
🇨🇴 Juan Quintero
🇩🇪 Toni Kroos
🇺🇾 Luis Suárez
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Kieran Trippier

* Wachezaji waliostaafu kutumikia vikosi vyao vya Taifa baada ya Kombe la Dunia 2028.

Javier Mascherano (Argentina)
Lucas Biglia (Argentina)
Andres Iniesta (Spain)
Keisuke Honda (Japan)
Sardar Azmoun (Iran)
Sergei Ignashevich (Russia)
*(only confirmed ones)*

* Nchi zilizoshiriki mara nyingi zaidi Kombe la Dunia

🇧🇷 Brazil – 21
🇩🇪 Germany – 19
🇮🇹 Italy – 17
🇦🇷 Argentina – 17
🇲🇽 Mexico – 16
🇫🇷 France – 15
🇪🇸 Spain – 15
🏴 England – 15
🇧🇪 Belgium – 13
🇺🇾 Uruguay – 13
🇷🇸 Serbia – 12
🇸🇪 Sweden – 12
🇨🇭 Switzerland – 11
🇷🇺 Russia – 11
🇺🇸 USA – 10
🇳🇱 Netherlands – 10
🇰🇷 South Korea – 11
🇭🇺 Hungary – 10
🇨🇿 Czech Republic – 9
🇨🇱 Chile – 9
🏴 Scotland – 9
🇵🇱 Poland – 8
🇵🇾 Paraguay – 8
🇵🇹 Portugal – 7
🇧🇬 Bulgaria – 7
🇨🇲 Cameroon – 7
🇷🇴 Romania – 7
🇦🇹 Austria – 7
🇯🇵 Japan – 6
🇳🇬 Nigeria – 6
🇨🇴 Colombia – 5
🇸🇦 Saudi Arabia – 5
🇳🇿 Australia – 5
🇭🇷 Croatia – 5
🇹🇳 Tunisia – 5
🇮🇷 Iran – 5
🇨🇷 Costa Rica – 5
🇵🇪 Peru – 5
🇲🇦 Morocco – 5
🇩🇰 Denmark – 5
🇩🇿 Algeria – 4
🇬🇭 Ghana – 3
🇮🇪 Ivory Coast – 3

* Waliofunga mabao mengi zaidi katika Historia ya michuano ya Kombe la Dunia

1. M. Klose 🇩🇪 (16)
2. Ronaldo 🇧🇷 (15)
3. G. Muller 🇩🇪 (14)
4. J. Fontaine 🇫🇷 (13)
5. Pele 🇧🇷 (12)
6. S. Kocsis (11)
7. J. Klinsman 🇩🇪 (11)
8. T. Muller 🇩🇪 (10)
9. H. Rahn 🇩🇪 (10)
10. G. Batistuta 🇦🇷 (10)
11.G. Lineker 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 (10)

* Mabao ya kombe la Dunia kulingana na Vilabu 

PSG – 12
Barcelona – 11
Tottenham – 11
Real Madrid – 10
Manchester United – 8
Atletico Madrid – 8
Manchester City – 5
Chelsea – 4
Liverpool – 4
Dortmund – 3
Inter Milan – 3
Juventus – 3
West Brom – 2

NB: Arsenal hayumo….

💯💯💯💯

Comments are closed.