The House of Favourite Newspapers

DIAMOND Aweka Historia Wasafi FESTIVAL Dar (Picha +Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’  usiku wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 amefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 ambalo limefanyika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam

…Wacheza shoo wa Diamond wakifanya yao.
… Wakiendelea kufanya makamuzi.
…Akitoa pongezi wa mashabiki wake (hawapo pichani).
…Akiongea jambo na mashabiki wake.
…Akitoa burudani ya Baila.
…Akiendelea kutoa shoo.

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL

.

Comments are closed.