The House of Favourite Newspapers

Future Avuta Demu Mpya

Rapa kutoka Marekani, Future.

LICHA ya kuelezwa kuwa na watoto saba kwa wanawake tofauti, rapa kutoka Marekani, Future ameamua kuanzisha uhusiano mwingine baada ya kuonekana kuvuta demu mpya aliyetambulika kwa jina moja la Priya.

 

Wawili hao walionekana juzikati pande za Dubai wakila bata la pamoja ambapo chini ya kapeti inaelezwa kuwa, Future amezama mfukoni na kumnunulia bibiye vito vyenye thamani ya dola Mil.1 (zaidi ya Bil.2 za Kitanzania). Future alishawahi kuzaa na mademu kibao akiwemo Ciara, Jessica Smith, Brittni Mealy pamoja na India J.

Comments are closed.