Future Kadondosha Bonge Moja La Trap Ya ‘Rocket Ship’ Video Mpya
Rapa Future ameidondosha video ya wimbo wake mpya Rocket Ship.
Rocket Ship imetoka kwenye album yake mpya ya ‘WIZRD’ ambayo imefanikiwa kuingia katika nafasi ya 1 kwenye chati za album bora 200 za Billboard kwa week hii
Video imeongozwa na Vincent Lou.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.