Gabo: Wanafiki Wanasaidia
MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa kwenye maisha yake hapendi kabisa marafiki wanaong’ata na kupuliza.
Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU, Gabo amesema kuwa aina hiyo ya watu ni vigumu sana kuishi nao lakini pia kuna muda mwingine hauwezi kuishi bila wao.
“Kwenye haya maisha hakuna watu wabaya kama wanafiki, furaha yao ni kuchonganisha watu tu na siyo kitu kingine na huwa ni ngumu sana kuishi nao lakini pia kuna muda mwingine hauwezi kuishi bila wao maana kuna wakati wanakuletea habari ambazo zinasaidia,” alisema Gabo.
STORI: KHADIJA BAKARI, RISASI
SOMA HABARI HII KWENYE Gazeti la Risasi bure
SOMA BURE >> RISASI <<
AU
Bonyeza kununua >> RISASI<<
PAKUA GLOBAL APP SASA
-
iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx
-
Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8