GABONI: CAF Wamfanyia Vipimo Serengeti Boy Aliyeichapa Angola Iwapo Anatumia Dawa - Global Publishers


Imewekwa na on May 19th, 2017 , 02:23:58pm

GABONI: CAF Wamfanyia Vipimo Serengeti Boy Aliyeichapa Angola Iwapo Anatumia Dawa

GABON: Winga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana, alichukuliwa na maafisaa wa CAF kufanyiwa vipimo vya dawa za kusisimua misuli.

Hali hiyo ilisababisha ashindwe kwenda kupokea tuzo yake ya mchezaji bora hivyo akawakilishwa na mlinzi, Dickson Job. CAF hawakuamini walichokiona kwa Abdul ambaye alihaha uwanja mzima!

Hata hivyo baada ya vipimo ilibainika hakuwa katumia dawa hizo bali ni uwezo binafsi wa mchezaji uwanjani.

#GabonMpakaKombelaDunia

Tupia Comment Yako, Matusi Hapana

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Be the first to comment on "GABONI: CAF Wamfanyia Vipimo Serengeti Boy Aliyeichapa Angola Iwapo Anatumia Dawa"

Leave a comment