MSANII wa Bongo Fleva, Model, video vixen na mtangazaji wa radio, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amemshushua mitusi wakati akijibu maneno ya mama watoto wa msanii Diamond Platinumz, Zari The Bosslady.
Zari kupitia ukurasa wake wa Instagram akizindua chuo nchini Afrika Kusini hivi karibuni, shabiki yake mmoja alim-tag Gigy kwenye post hiyo na Zari akajibu asihusishwe na masuala ya Gigy jambo ambalo limemchefua msanii huyo naye akaibuka na kujibu;
“Dada Zari mimi ni type yako? usihusishwe na mimi kwa hiyo mimi mdudu au? kweli ukiwa na hela unabadilika kiboko yake Hamisa. Hata ukisema huyo Diamond nikimtaka nampata, kwa kitu gani ambacho sina na mwenzangu anacho, mimi mzee vile? akaah!!.
“I know ni mama yangu. Mama mgeni, nchi jirani tumekupa kiki usiniongelee vibaya tena. Nakuomba yani sector ya mapenzi isikufanye ukatuchukie Tanzania nzima. Aliyekuchifua ni Chibu sio Gigy, do not talk shit about anybody. So my dear Zari i don’t know you, i appreciate you and even if we are not on the same level am growing, am gonna be there so watch me madam,” amesema Gigy Money.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Prev Post
Comments are closed.