Gigy Asonga na Soft Pad Mpaka Mwanza
Balozi wa taulo mpya za kike Softpad,Gifty Stanford ‘ Gigy money’ wiki hii alikuwa mkoani Mwanza, akizidi kuwaelimisha wanawake ubora na matuzi ya taulo hizo za Softpad,ambazo kwa sasa zipo madukani note.
Gigy aliwahusia pia na wanafunzi mbalimbali kuhusiana na matumizi ya taulo hizo zinavyoweza kuwasaidia hata wanapokuwa mashuleni.
Na Imelda Mtema
Comments are closed.