Gigy: Kuna Mbongo Muvi anataka uchafu
Muuza nyago maarufu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’.
Na Mayasa Mariwata
MUUZA nyago maarufu Bongo, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa kuna staa wa kike kutoka Bongo Muvi amekuwa akimsumbua mara kwa mara kwa kumshawishi afanye naye vitendo vya kichafu.
Gigy alisema kuwa, Mbongo Muvi huyo (jina linahifadhiwa) awali aliingia kwa gia ya kutaka wawe marafiki katika mambo ya kazi lakini kadiri siku zilivyosonga mbele na kuzoeana naye ndipo akamfungukia anataka wafanye naye mchezo mchafu.