GIGY Money, Amber Lulu Wafunika Wasafi Festival Dar – Video

Wasanii Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ na Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ wakitoa burudani katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.

WASANII wa Bongo Fleva nchini , Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ na Lulu Euggen ‘Amber Lulu’  usiku wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 wamefanya shoo ya aina yake katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.

Msanii wa Bongo Fleva nchini, Gift Mwakyusa ‘Gigy Money’ , akitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wake katika Tamasha la Wasafi Festival 2019 jijini Dar katika Viwanja vya Posta Kijitonyama.

…Akiwa katika anga la maraha.

…Amber Lulu akifanya yake

… Amber akikata mauno stejini.

Gigy Money akicheza na wacheza shoo wake.


Loading...

Toa comment