The House of Favourite Newspapers

Gigy Money na Tetesi za Kumpa Penzi Patrick Kanumba

0

BAADA ya kusambaa kwa tetesi mitandaoni kwamba msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ anaminya kimalovee na mwigizaji wa Bongo Movies ambaye kipaji chake kiligunduliwa na marehemu Steven Kanumba, Patrick Kanumba, hatimaye mwanamama huyo ameruka futi mia.

 

Gigy ameiambia OVER ZE WEEKEND kuwa, anajiheshimu hivyo hawezi kujidhalilisha kwa mtoto kama Patrick ambaye ndiyo kwanza anatafuta maisha kwa ajili ya familia yake.

STORI: MEMORISE RICHARD

Leave A Reply