The House of Favourite Newspapers

Gigy Money Taa Nyekundu Yamuwakia

0

TAA nyekundu imeshamuwakia modo na msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwani kura zake zinaonekana kutaka kupungua. Baada ya kuingia kwa Video Queen aliyejaaliwa kalio la maana, Sasha Kassim wiki iliyopita sasa kazi ni kwako kuwaangalia watatu kati ya watano waliopo.

Je, nani ungependa nani abaki kati ya Kajala, Masogange na Gigy ili kumpisha Sasha pekee. Aidha, wadada hao unaowaona wana mapicha makali sana ambayo unaweza kuyaona kwa uzuri kupitia ukurasa wetu wa Facebook kwa jina la ===> GAZETI LA IJUMAA.

Tembelea na u-like! tupate tano bora?

Chukua simu yako, nenda kwenye sehemu ya kuandikia SMS kisha andika neno SHEPU acha nafasi kisha andika namba ya mshiriki unayetaka abaki na utume kwenda namba 15542.

Hii ni kwa wateja wa VODACOM

Matonya; Tulitaka Tumzike Gigy Money

Leave A Reply