GLOBAL EDUCATION LINK KUFUNIKA MAONESHO YA ELIMU YA JUU

Kampuni ya Global Education Link inayofanya kazi ya kuwatafutia wahitimu nafasi ya kwenda za kwenda kusoma ng’ambo, inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa katika maonesha ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Julai 15, mwaka huu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

 

Kwa wale wahitimu wa kidato cha nne, sita na vyuo mbalimbali nchini watakaofika kwenye maonesho hayo, watapata fursa ya kuonana ana kwa ana na wawakilishi kutoka vyuo husika na watalaamu wa kampuni hiyo kwa ajili ya kupata ufafanuzi wa kina juu ya jinsi ya kupata nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi.

 

Taarifa zote zitakuwa zinapatikana katika banda maalum la Global Education Link ambapo kutakuwa na maelezo ya kozi za afya, biashara, uchumi, sheria na sayansi ambapo pia kutakuwa na fursa ya kupata mikopo wa vyuo vikuu nje ya nchi kutolewa kwa watakaohitaji kupitia benki za Amana na MCB.

 

Kwa melezo zaidi piga simu namba 0656200200 au 0677600100 au tembelea mitandao yao ya kijamii kwa ‘globaleducationlink’ kwenye Facebook, Instagram na WhatsApp, unaweza pia kutembea website yao kwa kubofya www.gel.co.tz.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on

 

View this post on Instagram

 

GLOBAL EDUCATION LINK KUFUNIKA MAONESHO YA ELIMU YA JUU Kampuni ya Global Education Link inayofanya kazi ya kuwatafutia wahitimu nafasi ya kwenda za kwenda kusoma ng’ambo, inatarajiwa kuwa kivutio kikubwa katika maonesha ya 14 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi kuanzia Julai 15, mwaka huu katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Kwa wale wahitimu wa kidato cha nne, sita na vyuo mbalimbali nchini watakaofika kwenye maonesho hayo, watapata fursa ya kuonana ana kwa ana na wawakilishi kutoka vyuo husika na watalaamu wa kampuni hiyo kwa ajili ya kupata ufafanuzi wa kina juu ya jinsi ya kupata nafasi ya kwenda kusoma nje ya nchi. Taarifa zote zitakuwa zinapatikana katika banda maalum la Global Education Link ambapo kutakuwa na maelezo ya kozi za afya, biashara, uchumi, sheria na sayansi ambapo pia kutakuwa na fursa ya kupata mikopo wa vyuo vikuu nje ya nchi kutolewa kwa watakaohitaji kupitia benki za Amana na MCB. Kwa melezo zaidi piga simu namba 0656200200 au 0677600100 au tembelea mitandao yao ya kijamii kwa ‘globaleducationlink’ kwenye Facebook, Instagram na WhatsApp, unaweza pia kutembea website yao kwa kubofyawww.gel.co.tz.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on


Loading...

Toa comment