Global Entertainment: Hali ya Wastara Yamtoa Machozi Steve Nyerere

Global TV Online kupitia Kipindi chake kipya cha Burudani, Global Entertainment, kinachoruka kila Ijumaa saa 9:000 Alasiri, leo Januari 12, 2017 mgeni wetu ni Msanii Maarufu wa Bongo Movie, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ ambaye amefunguka mengi kuhusu tasnia ya filamu na sanaa kwa ujumla.

-Steve amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya kiafya ya mguu wa Wastara ambaye hivi karibuni alifanya Exclusive interview na Global TV Online na kuonyesha anavyoteseka huku akiwaomba Watanzania wamsaidie kwa ajiri ya kutibiwa ili arudi kwenye hali yake ya kawaida.

 

-Aidha Steve amefungukia kuhusu maamuzi ya Serikali kuwapiga pini wasanii wa kike ambao wamekuwa wakifanya sanaa zao huku wakiwa wamevaa utupu.

 

FUATILIA HAPA Global TV Online

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment