GLOBAL HABARI AUG 10: WATU ZAIDI YA 60 WAPOTEZA MAISHA MORO

Watu zaidi 60 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa kufuatia ajali ya moto iliyotokea asubuhi ya leo eneo la msamvu mkoani morogoro ikihusisha lori la mafuta ambalo liliacha njia na kuingia kwenye makazi ya watu. baada ya dereva wa gari hilo kumkwepa dereva wa Boda boda.

Tukio hili limetokea majira ya saa mbili za asubuhi baada ya dereva wa Lori hilo kumkwepa dereva wa bodaboda na hivyo kuacha njia na kupinduka eneo la msamvu Mkoani Morogoro.


Loading...

Toa comment