Serikali imewasilisha muswada wa mfuko wa serikali wa hifadhi za jamii kwa watumishi wa umma wa mwaka 2018 (The Public Service Social Security Fund Act, 2018) na kujadiliwa katika Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania
Akiwasilisha muswada wa Mfuko wa Hifadhi za Jamii kwa watumishi wa umma wa mwaka 2018, Waziri wa nchi, ofisi ya waziri mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye Ulemavu Jenister Mhagama Amesema Mswada Uho Unapendekeza kutungwa Kwa Sheria Kwa Watumisha Umma Kwa Mwaka 2018 Ambao Utaonganisha Mifuko Yate Ya Hifadhi Za Jamii.
Comments are closed.