The House of Favourite Newspapers

Global Habari Dec 30 – Waziri Wa Mambo Ya Nje China Kufanya Ziara Nchini

0


Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Palamagamba Kabudi, ametangaza kuwepo kwa ziara itakayofanywa na Waziri wa Mambo ya Nje wa jamuhuri ya watu wa China hapa nchini kwa kipindi cha Siku mbili kuanzia Jan 7 – 8, 2021

Leave A Reply