The House of Favourite Newspapers

Global Habari Feb 9: Zungu Ateketeza Tani 11.53 Mifuko Hatarishi

0

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kwa wazalishaji na wasambazaji wa mifuko isiyokidhi viwango ili kudhibiti uchafuzi utokanao na mifuko hiyo.

 

Zungu ametoa kauli hiyo Itigi Wilayani Manyoni mkoani Singida baada ya kushuhudia zoezi la uteketezaji wa zaidi ya tani 11.53 za mifuko mbadala aina ya non-woven iliyokamatwa katika mikoa ya Tabora, Singida na Dodoma.

Leave A Reply