The House of Favourite Newspapers

Global Habari Jan 2, 2019: Mawasiliano Ya Simu Vijijini Kuimarika

0


Waziri wa ujenzi, Uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Izack Kamwele, amesema kumekuwapo na ongezeko la mawasiliano ya simu za mikononi maeneo ya vijijini kutoka asilimia 45 mwaka 2006 hadi asilimia 96 huku mawasiliano hayo yakiimarika kwenye maeneo ya mijini.

Leave A Reply