The House of Favourite Newspapers

Global Habari Nov 11: Serikali Kuboresha Mfumo wa RITA

Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga amesema Serikali itaendelea kuboresha mazingira ya usajili vizazi, vifo na Ufilisi.

 

Mahiga amesema hayo leo Jumatatu, Novemba 11, 2019, Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu maswali ya Wizara yake na kutoa wito kwa wananchi wote wasiokuwa na vyeti vya kuzaliwa kufika ofisi za RITA, kwa ajili ya kusajiliwa na kupewa vyeti ya kuzaliwa.

 

“Natoa wito kwa wananchi wote wasiokuwa na vyeti vya kuzaliwa kufika ofisi za Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), kwa ajili ya kusajiliwa na kupewa vyeti ya kuzaliwa.”

 

Comments are closed.