The House of Favourite Newspapers

GLOBAL KAZINI 19: KIMENUKA! Bibi Harusi Atekwa, Atupwa Baharini – Video

TAMTHILIA pendwa ya Global Kazini inazidi kupamba moto ambapo katika sehemu hii, Mayasa, mke mtarajiwa wa Nyemo, anatekwa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha, siku chache kabla ya harusi, kisha baada ya hapo, anaenda kutupwa baharini kwenye kina kirefu bila mtu yeyote kugundua.

Comments are closed.