The House of Favourite Newspapers

GLOBAL MOVIES: CHANZO NI WEWE (PART 1& 2)


CHANZO ni Wewe ni filamu ya Kitanzania inayomhusu Mzee Jengua ambaye anapata aibu na pigo kubwa baada ya kumbaka mwanae wa kike mdogo kama alivyoagizwa na mganga wa kienyeji ili kurudisha akili ya mwanae aliye feli mtihani wa darasa la saba kwa kudhania amelogwa na ndugu zake kwani alikuwa na akili sana. Kama ulikosa Part One tumekuwekea hapa chini

Comments are closed.