The House of Favourite Newspapers

#GlobalMusic: Harmonize Auachia Moyo Kwa Wolper Kwenye ‘Niambie’ – (Video)

Weekend hii kwenye playlist ya bongo fleva ninazo hits zinazotrend lakini kwa wale wapenzi wa kila kitu WCB ipokeeni hii kutoka kwa mkali wao Harmonize.

Signee kutoka WCBHarmonize amerudi na kazi mpya. Siku mbili baada ya kuipremier ngoma yake mpya ‘Niambie’ exclusively kupita kipindi cha XXL ya Clouds FM radio, mwimbaji huyo ameisogeza official music video ya wimbo huo huku video queen wa kichupa chake akiwa Jackline Wolper.

Akiwa kwenye vazi la nguo za kuchezea tennis, ‘Niambie’ inaanza kwa kumuonyesha Harmonize akiwa zoezini, mara Wolper anaibuka sehemu hiyo kumchukua mpenzi wake na kuelekea home… Kinachotokea baada ya hapo ni stori inayoendelea kwenye hizi dakika nne hapa chini.

 

Imeandikwa Na: Sandra Brown.

Video: YouTube/Harmonize.

 

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaa, muziki na nyingine zikufikie kwa wakati.

Comments are closed.