The House of Favourite Newspapers

GLOBAL TV KUONYESHA UJENZI WA FLYOVERS YA TAZARA LEO SAA 5 ASUBUHI

Usikose kutazama maajabu ya ujenzi wa  barabara za juu (flyovers) kwenye makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la Tazara, Buguruni, na  jinsi daraja la kuvukia watu linavyotumika katika kuingia na kutoka Kituo cha Mabasi ya Mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam.

Global TV leo saa 5:00 asubuhi itaonyesha kipindi maalum kuhusu kinachoendelea katika ujenzi huo wa Tazara na ambao ulizinduliwa na Rais John Magufuli.

Subscribe muda huu www.youtube.com/user/uwazi1

Comments are closed.