The House of Favourite Newspapers

Global TV Online: Fuatilia Spoti Hausi leo saa 10:00 Kuhusu Kombe la Mapinduzi

Wachezaji wa timu ya Simba.

SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni leo usikose kutazama wachambuzi wa kipindi hiki, watakuchambulia yafuatayo:-

1. Simba wanachokwenda kufuata kwenye Kombe la Mapinduzi

2. Kwa nini Azam wamepeleka timu ya vijana kwenye Mapinduzi

3. Kwa nini Arsenal wataingia kirahisi kwenye nne bora England

4. Rais wa Fifa ataomba kwenda kuuona uwanja wa Yanga

Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1

Comments are closed.