Global TV Online Yatoa Msaada Kwa Watoto Yatima Magomeni (Pichaz + Video)
Global Tv Online inayomilikiwa na Kampuni ya Global Publishers, leo imetoa msaada wa vitu mbalimbali kikiwemo chakula, vinywaji na sababu kwa watoto yatima wa Kituo cha Umra kilichopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Dar Live, Juma Mbizo alikabidhi mchele, unga na sukari pamoja na vinywaji mbalimbali pia sabuni kwa ajili ya sikukuu ya Iddi inayotarajiwa kusherehekewa kesho na aliwatakia sikukuu njema watoto hao.
Kuangalia Global TV Online tembelea hapa na kumbuka kusabscribe www.youtube.com/user/uwazi1
(PICHA; RICHARD BUKOS/GPL)