#GlobalCelebrities: Tazama Jinsi IlivyokuwaKwenye Uzinduzi Wa Album Mpya Ya Lady Jay Dee ‘WOMAN’ – (Photos & Video)

Siku ya Ijumaa tarehe 31 Machi ilikuwa siku muhimu sana kwa Malkia wa Bongo Fleva Lady Jay Dee ambaye alikuwa anazindua album yake ya saba ‘Woman’.

Kama ilikupita na hukupata muda wa kuhudhuria usiku wa Lady Jay Dee pale kwenye ukumbi wa King Solomon, Global TV Online inakusogezea video ya usiku wa uzinduzi wa Album mpya ya Lady Jay Dee ‘Woman’ . Itazame video ya tukio zima na jinsi ilivyokuwa ikiwemo na performance ya Lady Jay Dee hapa chini.

ZICHEKI BAADHI YA PICHA:

FULL VIDEO: UZINDUZI WA ALBUM MPYA YA LADY JAY DEEWOMAN

 

PICHA Na: Hillary (Global Publishers)

Subscribe kwenye YouTube Chanel yetu ya Global TV Online ili zote kali zinazotufikia iwe ni siasa, michezo, comedy, burudani, stori za mastaamuziki na nyingine kali zikufikie kwa wakati.

Loading...

Toa comment