#GlobalCelebrityUpdates: Zicheki Picha Za Mrembo Jokate Na Mastaa Mbalimbali Wa Marekani

Moja kati ya issue zinazotrend mitandaoni asubuhi hii ni Jokate kuonekana pichani na wakali wa muziki kutoka Marekani, Jay Z, Beyonce na Remy Ma.

 

Kukutana na Jay Z na Beyonce ni ndoto ya watu wengi sana, lakini bahati hiyo weekend iliyopita ilimdondokea mrembo wa Tanzania Jokate Mwegelo ambaye alipata bahati ya kukutana na familia hiyo ya The Cartes kwenye mchezo wa NBA All- Star Game jijini New Orleans, Louisiana kwenye uwanja wa Smoothie King Center usiku wa jana.

Kupitia page yake ya Instagram Jokate ameshare picha hiyo na caption ndefu inayosema:

So NBA Africa took me courtside and I haaaaaaad to say hello to the Carters… OMG . @beyonce is super cute and I can’t believe she shook my hand and was like nice to meet you. . I was like wait I need a picture, I came all the way from Tanzania for this B . She’s so sweeeeeet and I’m so lucky lmao. Thank you @beylite @balleralert for this pic I couldn’t snap one as I was shocked and still in disbelief. #Beyonce #Beylite #NBAAfricaGame #NBAAllStar #Kidoti .” – ameandika Jokate.

Ninazo hapa chini picha nyingine za mrembo Jokate akiwa katika pozi na wasanii wengine kutoka Marekani.

 

Jokate & Jidenna.

 

Jokate & Akon.

 

Jokate & Remy Ma.

 

Kaa karibu na website yetu ya globalpublishers pamoja na YouTube chanel yetu ya Global TV Online kwa updates, stori, pichaz, na matukio mbalimbali ya burudani na wasanii.

 

IMEANDIKWA NA: Sandra Brown.

 
Toa comment